Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) wa fedha 2023/2024, kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPRA, Dkt. Leonada Mwagike, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam, 28 Septemba, 2024, walioketi kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban (anayesimamia Fedha za Umma), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha (Huduma za Hazina), Bi. Jenifa Christian Omolo, na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa PPRA, Bw. Dennis Simba na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPRA Dkt. Leonada Mwagike.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akipokea Taarifa ya Tathmini ya Utendaji Kazi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), kwa mwaka wa fedha 2023/2024, kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPRA, Dkt. Leonada Mwagike, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam, 28 Septemba, 2024. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Bw. Dennis Simba.
PROGRAMU YA VISIMA 900 NCHINI KUONGEZA HALI YA UPATIKANAJI MAJI WILAYA YA
LINDI, RUWASA WACHIMBA 9.
-
JUMLA ya visima 9 kati ya 10 vya maji safi na salama vimechimbwa Wilayani
Lindi na Wizara ya maji kupitia kwa wakala wa maji na usafi wa mazingira
Vijiji...
26 minutes ago
0 Comments