Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene na akiwa akitoa cheti cha ushiriki wa Semina ya Waajiri na Viongozi wa Matawi ya TUGHE kwa Bw. John Mboya katika Hoteli ya Lushgarden jijini Arusha.
Baadhi ya Washiriki wakifuatilia hatuba ya ufungaji wa Semina ya Waajiri na Viongozi wa Matawi ya TUGHE kutoka kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene (Hayupo pichani) katika Hoteli ya Lushgarden Jijini Arusha.
TRA WAWASHUKURU GF TRUCK LTD NA LINDI EXPRESS LTD
-
Kaimu Kamishna Msaidizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ldara ya Kodi
za ndani, kitengo cha walipakodi wa kati Godwin Barongo pamoja na
Watumishi...
3 hours ago
0 Comments