RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed,
akiendelea na ziara yake katika Nchini za Umoja wa Falme za Nchi Kiarabu UAE,
akitembelea Kiwanda cha Samaki Sharjah East Fishing Prosessing, kujionea
utaalamu wa kuhifadhi samaki na kusafirishwa nje
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo
K.V.Thomas jinsi ya kuhifadhi samaki na ufanyaji wa peki kwa ajili ya
kusafirisha
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, akipata maelezo ya utayarishaji wa Kambo hadi kupekiwa kwa ajili ya
kusafirishwa nje ya Nchi na katika Soko la ndani akiwa katika ziara yake katika
Nchi za Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, akipata maelezo ya picha katika gazeti la kiwanda hicho kutoka kwa
Mkurugenzi Mkuu wa Sharjah East Fishing Processing K.V.Thomas , akiwa
katika ziara ya Kiserikali katika Nchi za Umoja wa Nchi za Kiarabu UAE
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya picha katika gazeti la kiwanda hicho kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Sharjah East Fishing Processing K.V.Thomas , akiwa katika ziara ya Kiserikali katika Nchi za Umoja wa Nchi za Kiarabu UAE
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, akipata maelezo ya picha katika gazeti la kiwanda hicho kutoka kwa
Mkurugenzi Mkuu wa Sharjah East Fishing Processing K.V.Thomas , akiwa
katika ziara ya Kiserikali katika Nchi za Umoja wa Nchi za Kiarabu UAE
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha
Sharjah East Fishing Processing K.V.Thomas, bada ya kumaliza ziara yake
kutembelea kiwanda hicho
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa mfano Jahazi na Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Sharjah East Fishing Processing K.V.Thomas, baada ya kumaliza ziara yake kutembelea kiwanda hicho.
0 Comments