Na Mwandishi Wetu
ZAIDI ya Mabondia alobaini kupata
elimu ya ujasiliamali katika mpaqmbano wa october 2 utakaofanyika katika
ukumbi wa White House Bar uliopo Kimara Korogwe mbali na semina hiyo ya
ujasiliamali na uwekezaji katika mchezo wa masumbwi pia wanamichezo
hawo wata oneshana umwamba siku hiyo baada ya kupewa semina ya masaa
mawili yanayo husu ujasiliamali
Akizungumza na wahandishi wa habari
mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D' amesema mpambano uho
utakuwa zaidi ya mchezo mana kutakuwa na elimu mbalimbali zitakazo
tolewa kwa vijana mbalimbali na watu watakao hudhulia siku hiyo
Elimu hiyo kwanza itatolewa October
Mosi katika ukumbi huo huo utkao husisha makocha mabondia pamoja na
wasaidizi wao mbalimbali watakaokuja siku moja kupima uzito na afya
kabla ya mpambano wao sdiku inayo fuata mana vijana watafundishwa elimu
ambayo itaweza kuwakwamua kimaisha pindi watakapo staafu mchezo wa ngumi
aliongeza kwa kusema mapambanop
yatakayopigwa siku hiyo ni kati ya Abdallah Luwanje atakaezipiga na
Shedrack Ignas uzito wa kg 63 raundi sita na haidar Mchanjo atazidunda
na Said Chino katika uzito wa kg 57 raundi sitawakati bondia Mustafa
Doto ataoneshana umwamba na Manyi Issa katika mpambano wa KG 61 raundi
sita
Wakati
Rojas Masamu
ataoneshana undava na Hashimu Chisora
katika uzito wa kg 61 raundi nne na Mohamed Muhunzi atapambana na
Kassim Ahamad katika uzito wa KG 56 raundi nne na mapambano mengine
mengi yatakayokuwepo siku hiyo
Ambaya mgeni rasmi atakuwa
Humphrey Polepole Mkuu wa Wilaya ya Ubungo
Humphrey Polepole Mkuu wa Wilaya ya Ubungo
Katika
Mchezo huo kutakua na Uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi
pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na
kocha 'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo
na mashabiki kujua sheria za masumbwi.
Ndani
yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani,
Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na
matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa
dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi
0 Comments