Jaman wapendwa kuna mwanafunzi mwenzetu amepata upofu akiwa chuo na sisi kama wanafunzi tumeamua kumchangia pesa kama inawezekana akatibiwe ila inahitaji kama milion 30 kwa hiyo kwa yeyote atakaeguswa anaweza tuma chochote kupitia namba hizo hapo.
Copyright © 2015 - 2025 BongoWeekend All Right Reserved
Developed by Gadiola Emanuel
0 Comments