|
Waziri
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage (kushoto) akiongea na
Waandishi wa Habari (hawako pichani) kuhusu kuanza kwa mradi wa Mgodi wa
kuchimba chuma na makaa ya mawe Liganga na Mchuchuma leo mjini Dodoma 19 Mei,
2016. Katikati ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge inayosimamia viwanda, biashara
na uwekezaji, Mhe. Dkt. Dalaly Kafumu pamoja na Mkurugenzi Mwendeshaji toka
Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Bwana Mlingi Mkucha.
|
|
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge inayosimamia
viwanda, biashara na uwekezaji, Mhe. Dkt. Dalaly Kafumu (kulia) akisisitiza
jambo mbele ya Waandishi wa Habari (hawako pichani)
kuhusu kuanza kwa mradi wa Mgodi wa kuchimba chuma na makaa ya mawe Liganga na
Mchuchuma leo mjini Dodoma 19 Mei, 2016. Kushoto ni Waziri
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage. |
|
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria mkutano huo wakifuatilia taarifa toka kwa Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage leo mjini Dodoma. |
(Picha zote na Benedict Liwenga, MAELEZO, Dodoma).
0 Comments