Na Mwandishi Wetu
MABONDIA mbalimbali wanatarajia
kupmbana siku ya Alhamisi ya March 3 katika ukumbi wa CCM Mwijuma
Mwananyamala jijini Dar Es Salaam
akizungumza wakati wa utambulisho wa
mpambano uho wenye lengo la kuinua vipaji vya mabondia chipkizi na
kuendeleza wale ambao wanafanya vizuri katika mchezo wa masumbwi
Mratibu wa mpambano uho Ibrahimu Kamwe
'Big Rght' amesema kuwa uwo ni mpango maalumu ya kukuza vipaji vya
mabondia chipkizi utakaokuwa endelevu mpaka pale watakapo wachuja na
kupata mabondia wa kuwaendelez zaidi
alitaja watakaozipiga siku hiyo kuwa
ni Mwinyi Mzengera atakaezipiga na George Geremiya wakati Herman
Shekivul akimenyana na Seleman Daud wakati Hassani Mbalale atazidunda na
Amos Mohando Kassim Chuma atakumbana na Said Nyonzo uku Shaban Manjoly
akipambana na Paul Nachelewa wakati Mbena Rajabu atapimana ubavu na Said
Katinko na HashimuChisola atakumbana na Sebastian Mkombozi na Maono
Ally atacheza na Amani Juma
katika mchezo uho siku hiyo kingilio kitakuwa ni Tsh;5000/= kwa watu wote
nae Promota wa mpambano uho Abuu
Chaka aliongeza kwa kuseka kuwa wameamua kuwainua vijana kwa ajili ya
kuendeleza vipaji vyao hivyo amewataka mabondia wote chipkizi kufanya
mazoezi na kujituma kwa ajili ya mashindano mbalimbali yatakayokuwa
yakifanyika kila mwanzoni mwa mwezi kwa kuwainuwa vijana hawo nimeamua
kujitolea
hivyo naomba wadau wengine wainge mfano uhu wa kujali michezo pia watoe sapoti mbalimbali kwa ajili ya mchezo wa masumbwi mchezo
0 Comments