TUWAJALI FOUNDATION WATOA MSAADA KITUO CHA SIFA KILICHOPO BUNJU B JIJINI DAR ES SALAAM

Baadhi ya wanakikundi cha Tuwajali Foundation wakiwa pamoja na watoto wa kituo cha Sifa wakati walipo watembelea na kutoa msaada.
Baadhi ya vitu vimetolewa kwa kituo cha Sifa Foundation
 Bi. Sifa (Kulia) ambaye ndiye mwanzilishi wa  kituo hicho cha Sifa Foundation akiwa anatoa shukurani kwa mmoja wa kiongozi wa Tuwajali Foundation Bw. Nurdin baada ya kupokea msaada wa vitu mbalimbali ikiwa ni pamoja na Unga, Mchele, Sabuni, Nguo na vitu vya kuchezea watoto.
Baadhi ya wanakundi la Tuwajali wakiwa katika kituo hicho na watoto

Wanakundi wa Tuwajali wakiwa pamoja na watoto hao baada ya shughuri ya kukabidhi msaada huo
Tone Multimedia Company Limited
Plot No.223/225 Block 46, Umoja Street 
Kijitonyama P.O Box 32529 Dar es salaam Tanzania

Post a Comment

0 Comments