Meneja wa Benki ya NMB tawi la Moshi,Emanuel Kishosha akishiriki na wafanyakazi wenzake katika zoezi la kufanya usafi katika maeneo ya uwanja wa michezo wa King George. |
Waganyakazi wa Benki ya NMB wa matawi ya Mandela na Mawenzi wakishiriki zoezi la usafi . |
Wafanyakazi wa NMB wakihakikisha hakuna uchafu unasalia katika uwanja wa michezo wa King George. |
Kazi ya ukusanyaji taka ikiendelea. |
Kila mfanyakazi alishiriki zoezi la usafi bila ya kuchoka. |
Meneja wa NMB,Emanuel Kishosha akisukuma tololi kuzoa taka. |
0 Comments