Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA. |
Mwenyekiti wa Bodi ya MUWSA,akizungumza. |
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi,Joyce Msiru akizungumza na wafanyakazi wa Mamlaka hiyo mara baada ya kutamburishwa kuwa Mkurugenzi mpya wa Mamlaka hiyo. |
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA wakiwa katika kikao hicho. |
Aliyekuwa kaimu mkurugenzi wa Mamlaka hiyo,Mhandisi Patrick Kibasa akizungumza wakati wa kikao hicho. |
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa MUWSA,Mhandisi Alfred Shayo akizungumza katika kikao hicho. |
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa MUWSA kutoka wizarani,Abdalah Mkufunzi akizungumza katika kikao hicho. |
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya MUWSA,Hajira Mmambe akizungumza katika kikao hicho. |
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya MUWSA,Boniface Mariki akizungumza katika kikao hicho. |
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa MUWSA,Elizabeth Minde akizungumza katika kikao hicho. |
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakzi,TUICO tawi la MUWSA,Masudi Barie akizungumza kwa niaba ya wafanyakazi wakati wa kikao cha utamburisho wa mkurugenzi mpya. |
0 Comments