BALOZI JUMA MWAPACHU ARUDISHA KADI YA TANU NA CCM


Pichani  kushoto  ni Katibu  wa Chama  Cha Mapinduzi  CCM  Sudi  Odemba  a kiza chambray kadi  za Mwapachu  leo katika ofisi ya  Kata Mikocheni Jijini  Dar es Salaam. 
Balozi  Juma Mwapachu akimkabidhi kadi zake mbili katibu Sudi Odemba  na kusema anajiona na Ukawa huku akisema kwamba atatangaza chama baadaye lakini anamsapoti Mgombea wa kiti cha urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo  CHADEMA.

Post a Comment

0 Comments