Tamasha la ZIFF limetangazafilamu 16 zitakazoshindanakatikakugombeatuzoyaSembeneOusmanekatikatamashalitakalofanyikabaadayemwakahuu.Filamuzinatokakatikanchi 11 ambazonipamojanaMarekani, Brazil, Senegal, Madagascar, Ghana, Cameroon, Morocco, Kenya, South Africa, Ethiopia and Tanzania.
“ShindanohililimetungwailikuboreshaufundiwakutengenezafilamufupizinazobuniwannavijanawaKiafrika”,
alisemaFabrizio Colombo, Mkurugenzi Msaidiziwa ZIFF. “Filamu 16
zimo katika kinyang’anyiro hicho, na washindi watatu watapewa $2000
kila mmoja ili kuwasaidia kutengeneza filamu nyingine tayari kwa tamasha la ZIFF mwaka ujao”
aliongezea.
Bernd
Multhaupwashirika la GIZ, wadhaminiwatuzohii, alinakiliwaakisema,
“Tuliamuwa kutoa zawadi tatu ili kuwapa motisha watengeneza filamu wengi zaidi kwa kupitia tuzo ya Sembene.
Tunatambuwa kuwa filamu fupi zinauwezo mkubwa wa kuboresha ubunifu bila ya kupunguza ubora wa filamu”.
Hao washindi watatu watatakiwa kutuma hadithi zao pamoja na mpango-kazi wautengenezaj i wa hizo filamu kabla hawajapewa fedha walizoshinda i likuhakikisha filamu zitatengenezwa kuwahi tamasha lijalomwakani.
Kwa njia hiyo ZIFF itahakikisha kupata filamu nyingine na kuboresha ufundi wa kutengeneza filamu fupi na
bora.
Filamu
16 zilizochaguliwani:
Lesley: Victor
Okoye Frank, USA / 15 min
O Canto da
Iona: Thiago B. Mendonca, Brazil / 25 min
Maruna: Molly
Kane, Senegal / 15 min
Aisaa’s Story:
Iquo B Essien, USA / 15 min
Madama Esther:
Luck Razanajaona, Madagascar / 15 min
The Traveller:
Victoria Dogbe, Ghana / 9 min
Damaru:
AgborObed, Cameroon / 24 min
Houkak:
YounesYoufsi, Morocco / 17 min
Kwaku: Anthony
Nti, Ghana / 16 min
SamakiMchangani:
AmilShivji, Tanzania, 30min
Kilimo 2:
Neema& Warren Reed, Tanzania / 6 min
LiberteEmprisonnee:
Sara Mikayel, Senegal /16min
SokoSonko:
EkwaMsangi, Kenya / 22 min
Uthando:
TulananaBohela, South Africa, 20min
Grandma Knows
Best: Tamara Dawit, Ethiopia, 16min
Vitrin, Regis Talia, Cameroon, 15min
JuuYaMradi:Mradihuuunadhaminiwana
GIZ,shirika la UshirikianowaKimataifa la Ujerumaniambalolinasaidia Tanzania
naJumuiayaAfrikaMashariki. ZIFF
nitamashakubwakulikoyoteAfrikamasharikinaambalolinatambuliwakimataifa.
Tamashalinadhaminiwana ZUKU kupitiamkatabawaudhaminiwamiaka 10 utaoisha 2021.
0 Comments