Bondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto' wakitunishiana misuli na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee (Picha Zote na Super D Boxing News)
Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto' wakitazamana kwa usongo na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond jubilee katikati ni Jay Msangi Promota wa mpambano huo.
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Mfaume Mfaume kushoto na Cosmas Cheka baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao wa leo.
TAMASHA LA PASAKA LARUDI KWA KISHINDO 2026
-
Tamasha la Pasaka, linaloandaliwa na kuratibiwa na Msama Promotions,
limeendelea kuwa tukio muhimu la muziki wa Injili nchini Tanzania. Kwa
msimu huu, ...
2 hours ago
0 Comments