Kikosi
cha Timu ya Mara (jezi Nyekundu) wakisalimiana na Marefa wa mchezo huo
tayari kwa Mtanange wa Women Taifa Cup kuzinduliwa leo jijini Mwanza kwa
Kuzikutanisha timu za Mwanza na Mara.
Rais
wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF, Mh Jamal Malinzi
akisalimiana na wachezaji wa timu ya Mara kabla ya Mechi ya Uzinduzi wa
mashindano ya Mpira wa Miguu kwa wanawake yajulikanayo kama Women Taifa
Cup kuanza katika dimba la CCM kirumba leo Jijini Mwanza
Baadhi
ya Viongozi wa Mpira wa Mkoa wa Mwanza pamoja na Viongozi wa TFF na
Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin Promotions Ltd ambao ndio wadhamini
wakuu wa Mashindano hayo Wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya Mechi ya
uzinduzi wa Mashindano ya Mpira wa Miguu kwa Wanawake yajulikanayo kama
Women Taifa Cup kuanza katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo.
Kikosi Cha Timu ya Mwanza kikiwa tayari kukabiliana na Timu ya Musoma
Kikosi cha timu ya Mara
Mtanange ukiendelea
Gari
ya Kurushia Matangazo ya Kampuni ya Azam likiwa tayari kwa kurekodi
mchezo wa Uzinduzi wa Mashindano ya Women Taifa Cup yaliyozinduliwa leo
katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza kwa kuzikutanisha timu za
Mara na Mwanza.
Baadhi
ya mashabiki wakifuatilia mtanange wa Mechi ya uzinduzi kati ya Mara na
Mwanza katika mashindano ya Women Taifa Cup yaliyoanza leo katika
Uwanja wa CCM Kirumba
Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Mwanza wakipeana mawazo mara baada ya mapumziko
0 Comments