UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA UWE WA HAKI NA AMANI


WADAU  CHEZEA PESA LAKINI USICHEZEE AMANI NA UTULIVU , NAWATAKIA UCHAGUZI WENYE UTULIVU WA SERIKALI ZA MITAA UBNAOFANYIKA LEO NCHINI KOTE , HAPO  NIKIWA NA WADAU ELIZABETH MAYEMBA  MWANDISHI WA GAZETI LA MAJIRA NA MPIGAPICHA MKONGWE SELEMANI MPOCHI  DIAMOND JUBILEE KATIKA TUZO ZA MWANAMICHEZO BORA , HAYA YOTE YANATOKEA SABABU YA AMANI NA UTULIVU TULIO NAO MUNGI IBARIKI TANZANIA.

Post a Comment

0 Comments