BENKI YA NBC YATOA MISAADA KWA WAGONJWA WA MUHIMBILI



 Mdhibiti  Uhalifu wa Kifedha wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Thomas Mgonja (kushoto) akikabidhi msaada wa sabuni kwa Enesi Sanga ambaye mtoto wake amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Wafanyakazi wa idara ya udhibiti wa uhalifu wa kifedha ya benki hiyo walikwenda hospitalini hapo jijini Dar es Salaam jana kukabidhi misaada mbalimbali ya kibinadamu ikiwa ni sehemu ya mpango wa NBC wa kuhudumia na kurudisha sehemu ya faida waipatayo katika shughuli za kijamii.
 Mdhibiti  Uhalifu wa Kifedha wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Thomas Mgonja (kushoto) akikabidhi msaada wa sabuni kwa Flora Mgawa ambaye mtoto wake amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Wafanyakazi wa idara ya udhibiti wa uhalifu wa kifedha ya benki hiyo walikwenda hospitalini hapo jijini Dar es Salaam kukabidhi misaada mbalimbali ya kibinadamu ikiwa ni sehemu ya mpango wa NBC wa kuhudumia na kurudisha sehemu ya faida waipatayo katika shughuli za kijamii.
Ofisa Miradi wa asasi ya Tumaini la maisha Tanzania, Meshack Nyambele (kulia) akipokea sehemu ya misaada ya vitu mbalimbali kutoka kwa  Mdhibiti  Uhalifu wa Kifedha wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Thomas Mgonja vilivyotolewana benki hiyo kwa ajili ya wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Post a Comment

0 Comments