Baadhi ya watumiwa wakiwa chini ya
ulinzi ambapo jana waliswekwa lumande na kulala ndani ya kituo cha
polisi buguruni baada ya kukamatwa wakipack konyagi feki maeneo ya
vingunguti Dar es salaam jana
MMOJA YA WATUHUMIWA AMBAYE ALIJITAMBULISHA KUWA YEYE NI MMILIKI WA KONYAGI FEKI AKIWA CHINI YA ULINZI BAADA YA KUKAMATWA JANA
Baadhi ya watumiwa waliokutwa katika
godwon lenye konyagi feki wakiendelea na kazi ya kupakia katika mabox
watumiwa hawo walikamatwa na kulala lumande katika kituo cha polisi
buguruni Dar es salaam jana kwa uchunguzi zaidi
Baadhi ya vibarua waliokodiwa kwa ajili ya kupakia
Konyagi ili wapeleke kituo cha polisi Buguruni wakifanya kazi ya kujaza
katikaq marobota ili waweke katika gari baada ya konyagi hiyo feki
kukamatwa Dar es salaam jana kwenye moja ya Godawn maeneo ya vingunguti
karibu na kituo cha mchicha watumiwa walikamatwa na kupelekwa polisi
0 Comments