Meneja
Mipango na Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Abdallah Mselly (kulia) akimkabidhi msanii wa Orijino Komedi, Mjuni Silvery 'Mpoki funguo
ya moja ya nyumba za gharama nafuu walizokopeshwa wasanii wa kikundi
hicho na NSSF wakati wa hafla fupi ya kukabidhi wasanii hao zilizopo
Mtoni Kijichi jijini Dar es Salaam hivi karibuni, mkopo huo utalipwa kwa
kipindi cha miaka 15. (Na Mpiga Picha Wetu)
Baadhi
ya nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na Shirika la Taifa la Hifadhi
ya Jamii (NSSF) na kukopeshwa wasanii wa kikundi cha Orijino Komedi Mtoni Kijichi jijini
Dar es Salaam.
Kushoto, Mac Reagan, Joti na Mpoki wakiangalia nyumba zao walizokabidhiwa na NSSF.
Meneja
Mipango na Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Abdallah Mselly akimkabidhi funguo ya nyumba msanii wa Orijino Komedi.
0 Comments