Uongozi
wa Shirika la Nyumba la Taifa na wa wilaya ya Namtumbo ukitoka nje ya
Ofisi ya Mkuu hiyo, baada ya kufanya mazungumzo ya kina ya mpango ya
kujenga nyumba za gharama nafuu. PICHA ZOTE NA MUUNGANO SAGUYA WA
SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw. Nehemia Mchechu na ujumbe wake
wakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Bw. Abdulah Lutavi akiwatembeza
kwenye eneo lililotengwa na Wilaya hiyo kwa ajili ya kujengewa nyumba na
NHC. Shirika la Nyumba litajenga nyumba za gharama nafuu katika
halmashauri hiyo hivi karibuni.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw. Nehemia
Mchechu, Mkuu wa Wilaya Natumbo, Bw. Abdulah Lutavi na ujumbe wao
wakijadiliana kwenye eneo litakalojengwa nyumba za gharama nafuu na
Shirika la Nyumba.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw. Nehemia
Mchechu na msafara wake wakikagua mradi wa ujenzi wa nyumba za gharama
nafuu wa Mkuzo, Songea. Mradi huo una jumla ya nyumba 18.
0 Comments