Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo
vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye
Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014.
Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).
Baadhi
ya Washiriki, waandishi wa habari na Wahariri wa habari kutoka Vyombo
mbalimbali vya habari waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa
Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua rasmi mkutano huo leo.

Rais
wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT) Jaji Thomas Mihayo, akizungumza
kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kufungua rasmi mkutano huo, uliofanyika leo Septemba 17, 2014 kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam
Katibu
Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT) Kajubi Mukajanga, akizungumza
kabla ya mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kufungua rasmi mkutano huo, uliofanyika leo Septemba 17, 2014 kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.
0 Comments