PSPF YAFUNGA NANENANE LINDI KWA KISHINDO



BAADHI YA WANANCHI WA MKOA WA LINDI WAKIWA KATIBA BANDA LA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF WAKISHUHUDIA BURUDANI KUTOKA MJOMBA BAND
AFISA MASOKO MFUKO WA PENSHENI PSPF, RAHMA NGASSA AKIMPATIA MAELEKEKEZO NAMNA YA KUJAZA FOMU YA UCHANGIAJI WA HIARI MMOJA WA WAKAZI WA LINDI WALIOPATA NAFASI YA KUTEMBELEA BANDA LA PSPF KWENYE MAONYESHO YA NANE.
 BALOZI WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, MRISHO MPOTO “MJOMBA”AKITOA BURUDANI KWA WAKAZI WA MKOA WA LINDI WALIOTEMBELEA BANDA LA PSPF WAKATI WA MAONYESHO YA NANENANE
AFISA UHUSIANO MFUKO WA PESHENI WA PSPF, COLETA MNYAMANI AKITOA MAELEZO YA NAMNA YA KUJAZA FOMU YA UCHANGIAJI WA HIARI MOHAMED MUSSA ALITPOTEMBELEA BANDA LA PSPF KWENYE MAONYESHO YA NANENANE MKOANI LINDI MWISHONI MWAwiki

Post a Comment

0 Comments