Bondia Thomasi Mashali kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mada Maugo wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana Maugo alishinda kwa point mpambano huo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Said Memba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Khalid Chokoraa wakati wa mpambano wao uliofanyika jana Chokoraa alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Khalid Chokora kushoto akilusha konde kwa saidi Memba wakati wa mpambano wao chokoraa alishinda kwa point
Bondia Thomas Mashali kulia akimrushia
konde la mkono wa kulia bondia Mada Maugo wakati wa mpambano wao
uliofanyika juzi katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Maugo
alishinda kwa point mpambano huo
picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mabondia Mada Maugo kushoto na Thomas Mashali wakipambana ulingoni
0 Comments