Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifurahia jambo na Mbunge wa Kilwa Murtaza Mangungu, wakati walipokutana
kwenye viwanja vya Ngongo katika maonesho ya sikukuu ya wakulima Nanenane iliyofanyika
Kitaifa kwenye Viwanja vya Ngongo, mkoani Lindi jana Agosti 8, 2014.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na Waziri wa Kilimo Maendeleo ya chakula na Ushirika, Eng.
Christopher Chiza, na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Lindi wakati
akitembelea katika Mabanda ya Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane
iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Ngongo Mkoa wa Lindi, jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea Jarida la Kilimo la Nanenane kutoka kwa Iman Kajula, kwa ajili
ya kuzinduliwa wakati wa Kilele cha Sikukuu ya Wakulima Nanenane
iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Ngongo, Mkoani Lindi jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitembelea baadhi ya mashamba ya mfano kujionea kilimo cha umwagiliaji
wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho katika Kilele cha
sikukuu ya Wakulima Nanenane iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya
Ngongo, mkoani Lindi jana.

akiangalia kiatu huku akisikiliza maelezo kutoka kwa Mrakibu Mkuu wa
Magereza, Yunge Saganda, kuhusu utengenezaji wa viatu hivyo wakati
alipotembelea katika Banda la Jeshi la Magereza kwenye Kilele cha
maonesho ya Sikukukuu ya Wakulima Nanenae iliyofanyika Kitaifa kwenye
Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na baadhi ya wakazi wa mkoa wa Lindi waliojitokeza katika
Viwanja vya Ngongo wakati akitembelea katika mabanda ya maonesho ya
Sikukuu ya Wakulima Nanenane yaliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja hivyo
jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na mmoja kati ya watoto waliokuwapo eneo hilo, wakati
akitembelea mabanda hayo ya maonesho.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ludovick Mwananzila, wakatika
Kilele cha Sikukuu ya Wakulima Nanenane iliyofanyika Kitaifa kwenye
Viwanja vya Ngongo, Mkoani Lindi jana Agosti, 8, 2014.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Sophia , wakatika
Kilele cha Sikukuu ya Wakulima Nanenane iliyofanyika Kitaifa kwenye
Viwanja vya Ngongo, Mkoani Lindi jana.
0 Comments