Mabondia Maneno Osward kushoto akitunishiana misuli na Abdallah Pazi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho jumapili katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala jijini Dar es salaam picha na WWW.SUPESDBOXINGCOACH.BLOGSPOT.COM |
bBondia Juma Biglee akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake kesho
Bondia Abdallah Pazi akipima uzito kushoto ni Maneno Osward
0 Comments