WADAU WA MUZIKI WA DANSI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA |
wadau wa muziki wa dansi Asha Kigundula na mwandishi wa gazeti la mwananchi |
Baadhi ya wasanii wa bendi mbalimbali wakiwa katika mdahalo wa muziki wa dansi kutoka kushoto ni King Kiki, Juma Ubao, Mafumo Bilali 'Bombenga' Kassimu Mapili na Waziri Ally |
Wadau wa muziki wa dansi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika mdahalo |
Baadhi ya wadau wa muziki wa dansi wakiwa katika meza kuu kushoto ni Mwani Nyangasa, Rose Chitara kushoto ni Muddy Muzungu |
Baadhi ya wadau wa muziki waliojitokeza katika mdahalo wa muziki wa dansi kutoka kushoto ni , Deo Mutta Mwanatanga,Taasisi Masela na Super Nyamwela wa Extra Bongo Picha na www.burudanm.blogspot.com
Mwani Nyangasa kulia akiwa na Richard Mangustino
Na mwandishi
WASANII wa muziki wa dansi pamoja na wadau mbalimbali wa mziki huo mwishoni mwa wiki iliyopita walikutanishwa na Shilika la utangazaji la Taifa TBC kwa ajili ya mdahalo wa kujadili mambo mbalimbali yanayohusu kupolomoka kwa mziki wa dansi nchini
Mdahalo huo ulioratibiwa na Dacota Khamis anaetangaza kipindi cha nyumbani ni nyumbani imeleta chachu kwa wasanii hawo kwa kufungua ukurasa mpya baada ya mada mbalimbali kujadiliwa wakati wa mdahalo hou
Mada zilizozungumzwa 1. Sababu ya Kuporomoka kwa Muziki wa Dansi, 2. Mikataba na wajibu wa wamiliki wa bendi kwenye vifo na maradhi, 3. Ushirikiano wa Wamiliki wa bendi, 4. Maadili ya uchezaji kwa wanenguaji.
wanamziki hawo ambao mara nyingi walikuwa wakilalamikia vyombo vya habari hususani tv na radio kutokupiga nyimbo zao na kuenderea kuwapa mda mrefu wasanii wa kizazi kipya ambao mara nyingi nyimbo zao azina hubora wa aina yoyote
Baadhi ya waliokuwepo; Dacota Khamis, Rose Chitallah, Chacha Sinda, Mody Muzungu, Chiki Mchoma, Sunday Mwakanosya, William Kaijage, Kassim Mapili, Abdul Salvador, Deo Mutta Mwanatanga, Richard Mangustino, Rajabu Mhamila 'Super D', Asha Baraka, Ally Choki, Mwani Nyangasa, Asha Kigundula, King Kiki, Hussein Jumbe, Saidi Kibiriti, Waziri Ally, Juma Ubao, Mafumu Bilali, Othman Suka, Taasisi Masela, mtu wa BASATA na mtu wa TBC.

0 Comments