Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akionyeshwa Moja ya kitabu cha kuhifadhi kumbukumbu chenye picha ya
Baba wa Rais Jakaya Kikwete, Mrisho Kikwete, wakati alipokuwa
akitembelea katika mabanda ya maonyesho kwenye sherehe za maadhimisho ya
miaka 50 ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania, yaliyofanyika leo
kwenye viwanja vya Maktaba Kuu ya Taifa jijini Dar es Salaam
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akionyeshwa baadhi ya vitabu na Ofisa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya
Mture Educational Publishers Ltd, Bupe Mwasaga, wakati alipokuwa
akitembelea katika mabanda ya maonyesho kwenye sherehe za maadhimisho
ya miaka 50 ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania, yaliyofanyika leo
kwenye viwanja vya Maktaba Kuu ya Taifa jijini Dar es Salaam
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akionyeshwa na Mkutubi wa Jiji, Lusekelo Mwalugelo, Gazeti la Mambo Leo
la Mwaka 1923 ambalo ni moja kati ya magazeti ya zamani, wakati
alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonyesho kwenye sherehe za
maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania,
yaliyofanyika leo kwenye viwanja vya Maktaba Kuu ya Taifa jijini Dar es
Salaam
Baadhi ya wanafunzi waliojitokeza kuhudhuria sherehe hizo wakiisomea vitabu, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho hayo.
Baadhi ya wadau waliohudhuria sherehe hizo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimtunukia cheti Mama Kaunga kwa kutambua mchango wa, wakati alipokuwa
akitembelea katika mabanda ya maonyesho kwenye sherehe za maadhimisho
ya miaka 50 ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania, yaliyofanyika leo
kwenye viwanja vya Maktaba Kuu ya Taifa jijini Dar es Salaam.
10:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akizindua Katalogi ya Kieletriniki, wakati wa sherehe za
maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania,
yaliyofanyika leo kwenye viwanja vya Maktaba Kuu ya Taifa jijini Dar es
Salaam. Picha na OMR
Picha ya pamoja na Wadau waliotunukiwa vyeti.
0 Comments