Kaimu
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Mawasiliano,
Sayansi na Teknolojia bi Prisca Ulomi akitoa wito kwa wananchi
kuzingatia matumizi sahihi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
(TEHAMA) wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar
es salam .
Kaimu Mkuu
wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi
na Teknolojia Bi Prisca Ulomi akiwaeleza waandishi wa habari leo jijini
Dar es salaam kuhusu hatua iliyofikiwa na Serikali katika Uandaaji wa
Sheria ya Matumizi Salama ya Mtandao,kushoto ni Afisa habari wa Idara ya
Habari Maelezo Bi Fatma Salum.
0 Comments