Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye ni Mwenyekiti
wa Chama Cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba akitoa mapendekezo
yake kuhusu taratibu za upigaji kura unaoangalia maridhiano ya misingi
ya kidemokrasia .Kulia ni Waziri Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalum Prof.
Mark Mwandosya na mbele niMbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa.wakati wa Semina ya Kujadili kanuni zaitakazoongoza Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma. (PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO)
|
0 Comments