Mbunge wa Temeke, Dar es Salaam, Abbas Mtemvu akiwasili katika ukumbi
wa Mihogoni, Kata ya Yombo Buza, katika jimbo hilo, kwa ajili ya
kuzungumza na Halmashauri Kuu ya CCM, Kata ya Buza kwa ajili ya
kujadiliana nao hali ya utekelezaji wa ilani ya CCM na kero
zinazowakabili wananchi katika jimbo hilo,leo.
Wajumbe wakiwa wamesimama baada wa Mtemvu kuingia ukumbini
Watendaji katika Idara mbalimbali katika Kata hiyo wakiwa wamesimama kumlaki Mtemvu
Katibu wa CCM, Kata ya Buza Shabani Abdallah akitoa neno la utangulizi kumkaribisha Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu (wapili kushoto) kuzungumza na wajumbe kwenye kikao hicho.
Wajumbe wakiwa ukumbini tayari kumsikiliza Mtemvu
Katibu Mtendaji wa Kata ya Buza, Anaclet Angelo akitambulisha watendaji wenzake kwa Mbunge
Mzee Haombi Mwangia (kulia) na wazee wenzake wakifuatilia kwa makini katika kikao hicho ambacho wamehudhuria kama waalikwa
Ofisa Mtendaji wa Kata ya Buza Angelo akisoma taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Kata hiyo.
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akizungumza wakati wa kikao hicho. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Buza Sahaibu Kapele na kulia ni Katibu wa CCM Kata hiyo, Shabani Abdallah. Imetayarishwa na theNkoromo Blog

0 Comments