MPAMBANO
WA MASUMBWA KUFANYIKA 10/11/2013 KATIKA UKUMBI WA ZULU PARADAISE PUGU
KILUMBA JUMAPILI HII SIO YA KUKOSA SIKU HIYO KUTAKUWA NA DVD ZA
MAFUNZO YA NGUMI DVD hizo na nyingine mbali mbali zitakuwa zikiuzwa kama
mpambano wa EVANDER HOLYFIEL VS RIDDICK BOWE YA TAREHE
13,NOVEMBA,1992,MUHAMMAD ALI VS JOE FRAZIER
Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Floyd Mayweathar,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi
DVD hizo za ngumi kali zitakuwa zikiuzwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'
Pamoja na kutambua sheria na taratibu za mchezo huo siku hiyo pia kuta
kuwa na vifaa vya mchezo huo wa masumbwi vitakavyotolewa zawadi kwa
mabondia na Kocha Super D ambaye ameweka ahadi ya kugawa, Gum Shit
,Clip Bandeji,DVD za Mafunzo kwa mabondia, Bukta,Protector na vifaa
mbalimbali kwa mabondia watakao onesha uwezo wa ali ya juu wa kutupiana
masumbwi DVD KWA SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA
MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH
KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania
MAZIKO YA MPENDWA WETU HASSAN NG'ANZO
-
*Ndugu, jamaa na marafiki wakijumuika pamoja katika siku ya msiba wa
mpendwa wetu Hassan Ng'anzo nyumbani kwa marehemu Sinza Mori mapema siku ya
Ijumaa M...
WASIRA AWATOLEA UVIVU WALIOANZA MBIO ZA URAIS
-
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen
Wasira, Leo Machi 27, 2026, Mjini Bunda Mkoa wa Mara alipokuwa akiweka
jiwe la ms...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments