MKUU WA MKOA DAR ES SALAAM AITA WADHAMINI UHURU MARATHON 2018

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sadick Mecky Sadick katikati akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani , kushoto ni 
Katibu wa Uhuru Marathon Inno Melleck na kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Michezo Juliana  Yasoda.
 
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Sadick  Mecky Sadick  ameziomba Taasisi, Kampuni na Idarambalimbali kujitokeza kudhaminimbioza  Uhuru Marathon 2013 zilizopangwa kufanyika  Desemba 8 jijini Dar es Salaam. 
“Ni vyemapianichukue nafasi hii kuzitaka kampuni, taasisinawatumbalimbalikuzidhaminimbiohiziambazonizetusotenazenyeumuhimumkubwakwaustawiwaTaifaletu,” alisemaSadick.

 Akizungumza jana na waandishi wa habari  Sadick ambaye pia ni Mwenyekiti wa mbio hizo alisema, Uhuru Marathon ni muhimu zaidi kwa watanzania wenyewe kwani zina lengo la kudumisha amani , utulivu, mshikamano  miongoni mwetu hapa  nchini.

 “Katikakipindihikiambachokunabaadhiyawatuwanafanya hila za ainambalimbali  ili kutuvuruga  hivyo ni vyema watanzani9a wakazienzi  mbio hizi ambazo zimekuja  katika wakati muafaka wakudumisha yaleyaliyoasisiwanawaasisiwataifa hili” alisema .

 “Hivyokatikakipindihiki ambacho tunatakiwa tudumishe amani, umojanamshikamanomiongonimwetuni bora zaiditukaonaumuhimu wambio hizi.

Alisema  kuwa  ni jambo la kujivunia kwa  kuwa Mkoawa Dar es Salaam  kuweza kuandaa mbio hizo  hivyo zitatumika kutangaza amani ya nchi.

Kaktika mbio hizo wapo watakaokimbia, mbio ndefu kilomita 42,  kilomita 21  pia zitakuwepo mbio za kilomita 5 ambazozitawa husisha watuwa kadambalimbali, wakiwemo Mawaziri  , Wabunge  na wanasiasa  ambao watakimbia mbio za kilometa  tatu zitakazohusisha pamoja na viongozi wa ngazi za juu . 

Katibu wa Kamati ya Maandaliziya Uhuru Marathon, Innocent Melleck alisema, mbali  na hilo pia waandaaji wametuma mwaliko kwa wanariadha mbalimbali maarufu duniani akiwemo Haile Gebresellasie  wa Ethiopia ili kumuomba ashiriki mbiohizo. 

Naye Mkurugenzi wa Michezo Msaidi katika Juliana Yassoda alisema, ana imani  kubwa  mbio hizo zitaleta chachu  kubwa  na kuchangia katika kuinua mchezo huo.

“Sio kwa riadha tu, kunamichezomingi hapa nchini, lakini ni vyema vyama  mbalimbali vya michezo hapa nchini vikaweka mikakati inayotekelezeka ili kuhakikisha Tanzania inafanyavyema zaidi kimataifa ” alisema.

Melleck aliongeza kwa kusema kuwa mbio za Uhuru Marathon zitakuwa zikifanyika kila ifikapo Desemba 8 yakilamwakahapa nchini.

Post a Comment

0 Comments