Katibu Mkuu wa sasa wa CCM, Abdulrahman
Kinana, akisalimiana na Katibu Mkuu mstaafu Willson Mukama, walipokutana
kwenye Mkutano wa sita wa Makatibu Wakuu wa vyama vilivyokuwa vya
Ukombozi Kusini mwa Afrika, leo katika hoteli ya Kunduchi Beach, Dar es
Salaam. Kushoto ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni CCM, Mohamed Seif Khatib
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahmani Kinana
akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Chama Cha FRELIMO cha Msumbiji,
Philipe Paunde wakati wa mkutano huo
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa
Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akishauriana jambo na Makatibu wenzake
wa NEC, Zakia Meghji (Uchumi na Fedha) na Mohamed Seif Khatib
(Oganaizesheni ) wakati wa mkutano huo. nyuma ni Katibu Mkuu wa Umoja wa
Vijana wa CCM, Sixtus Mapunda
Katibu Mkuu wa chama cha ZANU-PF cha Zimbabwe, Dydmus Mutasa akiwa kwenye mkutano huo.
Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Wilson Mukama akisalimiana na Dk. Asha-Rose Migiro wakati wa mkutano huo.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape
Nnauye akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa
Kimataifa wa Chama Cha Kikomunisti cha Jamhuri ya Watu wa China, Ai
Ping, wakati wa mkutano huo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
akizungumza na Ai Ping wa chama cha CPC cha china wakati wa mkutano huo.
Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (zanzibar), Vuai Ali Vuai
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
akiwaelekeza jambo, Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM,
Dk. Asha-Rose Migiro na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye,
wakati wa mkutano huo.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza kabla ya kuanza kwa kikao hicho
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
akifungua mkutano wa sita wa Makatibu wakuu wa vyama vilivyokuwa vya
ukombozi kusini mwa Afrika, leo kwenye hoteli ya Kunduchi Beach, Dar es
Salaam. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM,
Dk. Asha-Rose Migiro na Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar, Vuai Ali
Vuai.
Mkutano huo ukiendelea katika hoteli ya Kunduchi Beach
Mwenyekiti wa Mkutano wa Sita wa Vyama
vilivyokuwa vya Ukombozi Kusini mwa Afrika, Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana akiendesha mkutano huo, leo katika hoteli ya Kunduchi
Beach, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM,
Zanzibar Vuai Ali Vuai na kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa
Kimataifa CCM, Dk. Asha-Rose Migiro.
Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye mkutano huo
Viongozi wa vyama vilivyokuwa vya
Ukombozi Kusini mwa Afrika, walioshiriki kwenye mkutano wa sita wa vyama
hivyo, leo kwenye hoteli ua Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam,
Kutoka kushoto, Katibu Mkuu wa Chama Cha ANC cha Afrika Kusini, Gwede
Mantash, Katibu Mkuu wa chama cha ZANU-PF cha Zimbabwe, Didy Mutasa,
Naibu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Chana Cha
Kikomunisti cha China, Ai Ping,Katibu Mkuu wa MPLA cha Angola, Julio
Paulo. Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa chama cha
FRELIMO cha Msubiji, Philipe Paunde na Katibu Mkuu wa Chama cha SWAPO
cha Namibia,Nangolo Mbumba
Makatibu wakuu wa vyama vilivyokuwa vya
ukombozi kusini mwa Afrika, wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi
wengine waandamizi, baada ya ufunguzi wa mkutano huo.
0 Comments