TUNAWATAKIA nawatakia Sikukuu njema ya Eid El Fitri,
wadau wote wa mitandao hiyo. Tusherehekee kwa amani na utulivu na
kufanya mema yote yaliyoamrishwa na Mwenyezi Mungu na kuendelea kuyakataa
yale yote yaliyokatazwa, Inshaallah. Na pia tuuenzi mwezi huu kama
mwalimu mzuri kwa kuendelea kutenda mema na kuyaacha yote tuliyoyaacha
ndani ya huu mtukufu wa Ramadhan na Leo ni Mwezi Mosi Shawwal 1434,
Sikukuu iliyotukuka kwa Waumin wote wa Kiislam. MUNGU ATUJAALIE KUYAACHA
MABAYA YOTE TULIYOYAACHA KIPINDI CHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN, NA
ATUONGOZE KUENDELEA NA MEMA, AMINA INSHAALLAH
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afuturisha Viongozi pamoja na Makundi
mbalimbali, Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu
Hassan akijumuika na Wananchi wa Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba kwenye
Futari ali...
2 hours ago

0 Comments