Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margareth Zziwa,
akiwa na Kamati ya Uongozi wa Bunge hilo, walipotembelea ukumbi mpya wa Bunge
la EALA uliopo kwenye jengo la Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
Jijini Arusha Tanzania, tayari kwa kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza
tarehe 18/08/2013. 2. Spika ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi - EALA
pamoja na Wabunge wanaounda Kamati ya Uongozi, wakionyesha nyuso za furaha
walipokuwa katika ziara ya kutembelea ukumbi mpya wa bunge hilo Jijini Arusha. (Picha na Mukhtar Abdul wa EAC)
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA UKIMWI YAPONGEZA UTEKELEZAJI WA AFUA
ZA UKIMWI NJOMBE
-
NA. MWANDISHI WETU – LUDEWA
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI,
Mheshimiwa Dkt. Elibariki Kingu ametoa pongezi kwa Mko...
1 hour ago
0 Comments