Miss
Tanzania 2012, Brigitte Alfred (kulia) akipokea hundi yenye thamani ya
shilingi Milioni 4.1 kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na
Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Susan Omari jijini
Dar es Salaam jana. Fedha hizo ni kwaajili ya ujenzi wa Bweni la
wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) linalojengwa katika shule ya
Msingi Buhangija mkoani Shinyanga. (Picha na Kamati ya Miss Tanzania)
AMVUNJA MBAVU MKE WAKE KWA WIVU WA MAPENZI
-
Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi linamsaka Hamidu Abdalah kwa kosa la
kumjeruhi kwa kumpiga na chaga ya kitanda mke wake Amina Athuman Said 40,
mkazi wa Likon...
TAASISI YA DORIS MOLLEL YAKABIDHI NYUMBA CHANIKA
-
Katika kuadhimisha Siku ya Watoto Njiti Duniani, Taasisi ya Doris Mollel
(@dorismollelfoundation) ilimkabidhi nyumba ya makazi Mama aliyejitolea
kukumbatia...
TAASISI YA DORIS MOLLEL YAKABIDHI NYUMBA CHANIKA
-
Katika kuadhimisha Siku ya Watoto Njiti Duniani, Taasisi ya Doris Mollel
(@dorismollelfoundation) ilimkabidhi nyumba ya makazi Mama aliyejitolea
kukumbatia...
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments