Miili ya askari wa
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ikiwasili katika Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, askari hao
walikuwa wakilinda Aman Darfur Sudan. Miili hiyo itaagwa kwa heshima
zote siku ya Jumatatu Julai 22 Makao Mkuu ya Wizara ya Ulinzi Upanga
jijini Dar es Salaam.
Askari
wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa wamebeba moja
ya masanduku saba yenye miili ya askari wa jeshi hilo waliofariki
Darfur, Sudan wakati wakilinda amani, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam leo alasiri.
MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU CCM TAIFA
DODOMA
-
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 17 Januari 2025, ameongoza
Kikao c...
15 hours ago
0 Comments