MSANII Snura ametoa wimbo wake mpya
unaokwenda kwa jina la ‘Nimevurugwa’.Wimbo huo utakuwa ni wa pili ambapo awali
aliachia wimbo wa ‘Majanga’ ambao bado
unafanya vema katika tasnia ya muziki katika matamasha mbalimbali na hafla anazoalikwa.
Wimbo huo ambao ameupiga katika miondoko ya
mduara umetambulishwa jana katika vituo mbalimbali vya redio.
Baadhi ya wadau wa muziki waliopata fursa ya kuusikiliza wameupa sifa wimbo
huo ambao unazungumzia mambo kadha wa kadha
katika jamii, elimu na maisha kwa ujumla.
Awali msanii huyo ambaye nyota yake ilianza kung’ara katika uchezaji wa filamu lakini baadaye aligeukia muziki.
TAMASHA LA PASAKA LARUDI KWA KISHINDO 2026
-
Tamasha la Pasaka, linaloandaliwa na kuratibiwa na Msama Promotions,
limeendelea kuwa tukio muhimu la muziki wa Injili nchini Tanzania. Kwa
msimu huu, ...
TANI 9 ZA DAWA ZA KULEVYA ZAKAMATWA NCHINI TANZANIA
-
*TANI 9 ZA DAWA ZA KULEVYA ZAKAMATWA NCHINI TANZANIA, BASI LA KING MASAI
LANASWA*
**Raia wa Kenya akamatwa akitumia biashara ya chai kuficha uuzaji wa d...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments