Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Bi.
Mercy Silla (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii
Tanzania (SHIWATA) baada ya ujumbe huo kumtaarifu kuhusu tamasha la
Wasanii litakalofanyika Juni 29, 2013, Mkuranga.

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii
Tanzania (SHIWATA), Caasim Taalib akikaribishwa ofisini na Ofisa
Utamaduni Utamaduni wa Wilaya ya Mkuranga, Bw. Lucas Kamwavah
alipokwenda kuomba kibali cha Tamasha la Mastaa Chipukizi
litakalofanyika kijiji cha wasanii Mwanzega, Mkuranga Juni 29 mwaka
huu.
Airtel, Huawei waimarisha ushirikiano kukuza mageuzi ya kidijitali Tanzania
-
KAMPUNI ya mawasiliano ya simu ya Airtel Tanzania na kampuni ya teknolojia
ya Huawei zimethibitisha upya dhamira yao ya kuendelea kuimarisha huduma za
maw...
4 hours ago
0 Comments