Na Elizabeth John
BAADA ya miaka michache kutoka na wimbo wa Kuolewa, mwanamuziki Luiza Mbutu,
anatarajia kuachia single nyingine ya ‘Maisha baada ya kuolewa’.
Akizungumza na Habari Mseto, Mbutu alisema anakuja na kitu hicho baada
ya kupata uzoefu wa muda sasa katika maisha ya ndoa jambo litakalomfanya kuimba
jambo analolijua.
Luiza Mbutu aliolewa mwaka 2000 na kwa sasa ndiye kiongozi wa bendi ya Twanga Pepeta huku akiwa
kati ya wanamuziki waliodumu katika bendi hiyo takribani miaka 12.
mwanadada huyo ni kati ya wasanii wakongwe wa bendi hiyo tamgu kuanzishwa kwa bendi hiyo.
You might also like:
0 Comments