Bondia Patrick Kavako 'Baunsa wa Morogoro akiwa chini hoi baada ya kupata kipondo toka kwa Ibrahimu Class 'King Class Mawe' katika raundi ya tatu Class alibuka mshindi kwa KO picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Refarii Omari Yazidu akimwinua mkono juu bondoa Ibrahimu Class 'King CLass Mawe' kuwa mshindi baada ya kumuangusha bondia Patrick Kavako'Baunsa' wa morogoro katika raundi ya tatu. picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Patrick Kavako 'Baunsa' wa morogoro wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Class alishinda kwa KO ya raundi ya tatu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Mariam Abdallah kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Lulu Kayage wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita Kayage alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Lulu Kayage Kushoto akioneshanas ufundi wa kutupiana Makonde na MariamuAbdallah wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita lulu alishina kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia lulu Kayage akinyooshwa mkono juu baada ya kushinda |
Mabondia Chipkiz wa kike kushoto Lulu Kayage na Mariamu Abdallah kulia wakiwa na viongozi wa ngumi nchini Ibrahimu Kamwe na Emanuel Mlundwa |
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Patrick Kavako 'Baunsa' wa morogoro wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Class alishinda kwa KO ya raundi ya tatu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Ibrahimu Class 'King Class Mawe' |
Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akiwa na mashabiki wake |
0 Comments