|
Mkurugenzi wa
Kampuni ya Steps, Diresh Solanki akimpa tuzo msanii bora wa kiume katika
tasnia ya filamu nchini Jacob Stevin JB wakati wa utoaji wa tuzo hizo
zilizofanyika usiku wa kuamkia leo na kuhudguliwa na wasanii wengi
nchini hii ni kwa mara ya kwanza steps inaandaa tuzo hizi zitakazokuwa
zikitolewa kila mwaka.Picha na www.burudan.blogspot.com |
|
Pazia ra Tuzo za Steps Bongo Movie Awards ukiwa umefunguliwa na waziri wa Sayansi na Teknolojia Makame Mbawala |
|
Mzee Majuto akipokea Tuzo ya msanii bora wa uchekeshaji |
|
Msanii Stiv Nyerere akipokea Tuzo |
|
Msanii Nice Mohamedi 'Mtunis' akipokea tuzo ya Mwaka 2012 zilizoandaliwa kwa mara ya kwanza na kampuni ya Steps Entatainment tuzo hizi zitakazokuwa
zikitolewa kila mwaka.Picha na www.burudan.blogspot.com |
|
MAMA SHILOLE AKIWA JUKWAANI |
|
Mtoto Jenifa akichukua tuzo yake |
|
Add caption |
|
Msanii Niva akichukua TUZO ya msanii bora Chipkizi kulia yupo msanii mwenzake Rado |
|
Mjumbe
wa Kamati ya saidia Taifa Stars Ishinde, Ridhiwani Kikwete kushoto
akimkabidhi tuzo Haji Adamu kwa niaba ya Jimmy Mponda aliyeshinda msanii
bora wa Filamu za Mapigano wakati wa utoaji wa tuzo hizo zilizofanyika
kwa mara ya kwanza nchini na kuandalia na kampuni ya Steps Picha na www.burudan.blogspot.com |
|
Mjumbe
wa Kamati ya saidia Taifa Stars Ishinde, Ridhiwani Kikwete wa tatu
kushoto akiwapongeza baadhi ya wasanii wa marehemu Kanumba baada ya
kuwakabizi tuzo
|
|
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Steps Dilesh Solanki akimkabizi tuzo ya mwongozaji bora
wa filamu nchini kwa mwaka 2012 Vicent Kigosi 'Ray ' wakati wa utoaji wa tuzo hizo
zilizofanyika usiku wa kuamkia leo na kuhudguliwa na wasanii wengi
nchini hii ni kwa mara ya kwanza steps inaandaa tuzo hizi zitakazokuwa
zikitolewa kila mwaka.Picha na www.burudan.blogspot.com |
|
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Steps Dilesh Solanki akifafanua jambo baada ya kumkabizi
tuzo Vicent Kigos 'Ray' ya mwogozaji bora wa filamu nchini kwa mwaka
2012 wakati wa utoaji wa tuzo hizo
zilizofanyika usiku wa kuamkia leo na kuhudguliwa na wasanii wengi
nchini hii ni kwa mara ya kwanza steps inaandaa tuzo hizi zitakazokuwa
zikitolewa kila mwaka.Picha na www.burudan.blogspot.com |
|
Wafanyakazi wa Kampuni ya Steps wakipokea tuzo |
|
Baazi
ya wasanii wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabiziwa tuzo zao
za kwanza kwa mwaka 2012 zilizozaminiwa na kampuni ya steps Picha na www.burudan.blogspot.com |
|
MPIGA PICHA mOHAMED aralakia ZA KAVA MBALIMBALI ZA KAMPUNI YA STEPS AKIPOKEA TUZO |
:KAMPUNI ya Usambazaji wa filamu ya
Steps Entatainment ya jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita
ilitoa tuzo kwa wasanii bora waliofanya vizuri katika tasnia ya filamu
nchini kwa mwaka 2012 ikiwa ni kwa mara ya kwanza kuanzishwa kwa tuzo
hizo
Akizungumzia tuzo hizo Mkurugenzi wa Kampunu hiyo Direshi
Solanki amesema kuwa tuzo hizo watakuwa wakizitoa kila mwaka kwa kuleta
maendeleo ya filamu nchini kampuni hiyo iliyojikita katika kusambaza
filamu za wasanii wameweka historia ya kuigwa kutokana na kuanzisha tuzo
hizo
Baadhi ya washindi ambao walipatikana katika tuzo hizo wa
kwanza ni Stevin Mangendela 'Stive Nyerere', Issa Mussa 'Cloud 112'
Mohamed Nurdini 'Chek budi' Nice Mohamed 'Mtunisi' Iren Paul akinyakuwa
msanii bora chipkizi wa kike
Wakati katika kinyanganyiro cha
kumpata msanii bora wa kiume alinyakuwa Jacob Stevin 'JB' huku msanii
bora wa kike ikienda kwa mwana dada Iren Uwoya
na msanii bora wa filamu za mapingano ilikwenda moja kwa moja kwa Jimmy Mponda 'Jimmy Masta'
Wakati katika kipengere cha muhongozaji bora wa filamu kilikwenda kwa vicent Kigosi' Ray' na kampuni yake ya RJ Filamu
mbali
na hivyo kulikuwa na tuzo za heshima kwa wasanii waliofanya vizuri
rakini kwa sasa awapo duniani moja ni kwa Stevin Kanumba,Saidi Kilowoko
'Sajuki' John Stefano,Hussein
Ramadhani Mkiety,'Sharo Milionea'
Katika utoaji wa tuzo huzo kulikua na burudani nyingi zikiongozwa na Odama Bendi
0 Comments