Mshambuliaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Mbwana Samatta, akiambaa na mpira
kwenye mazoezi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo, kujiandaa na mchezo
wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa zamani Afrika, Cameroon keshokutwa
kwenye Uwanja huo.
Kiungo wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Shaaban Nditi, akiambaa na mpira
kwenye mazoezi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo, kujiandaa na mchezo
wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa zamani Afrika, Cameroon keshokutwa
kwenye Uwanja huo.
Kiungo wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Frank Domayo, akiteleza na mpira
kwenye mazoezi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo, kujiandaa na mchezo
wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa zamani Afrika, Cameroon keshokutwa
kwenye Uwanja huo.
Kiungo wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Salum Abubakar, akiondoka na mpira
kwenye mazoezi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo, kujiandaa na mchezo
wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa zamani Afrika, Cameroon keshokutwa
kwenye Uwanja huo.
MAZIKO YA MPENDWA WETU HASSAN NG'ANZO
-
*Ndugu, jamaa na marafiki wakijumuika pamoja katika siku ya msiba wa
mpendwa wetu Hassan Ng'anzo nyumbani kwa marehemu Sinza Mori mapema siku ya
Ijumaa M...
WASIRA AWATOLEA UVIVU WALIOANZA MBIO ZA URAIS
-
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen
Wasira, Leo Machi 27, 2026, Mjini Bunda Mkoa wa Mara alipokuwa akiweka
jiwe la ms...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments