Mratibu wa
taasisi ya Shikamana Brittany Karima
Cesarini ( kulia ) akiwakabidhi vipeperushi
vyenye ujumbe wa tuungane
kutokomeza unyanyasaji, wanafunzi, Husna Methew wa shule ya sekondari ya Jitegemee na Moses Festo wa
shule ya sekondari ya Mbezi Beach na wakati wa uzinduzi wa kampeni
ya kutoa alimu ya kutokomeza unyanyasaji kwa wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam,
ufunguzi huo ulifanyika katika ukumbi wa
Theater 1 wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, leo.
Baadhi ya
wanafunzi wa shule mbalimbali za jijini Dar es Salaam, wakiwa na vitabu vilivyo andikwa Hali Halisi ya Kijinsia
Nchini Tanzania wakati wa uzinduzi wa utoaji wa elimu kwa shule za sekondari
juu ya unyanyaaji wa kijinsia ikiwa ni
pamoja na utoaji wa elimu ya utoaji wa mahusiano ya mazuri ya kimapenzi kwa vijana .Shikamana wamedhamilia kuleta mabadiliko juu ya utoaji
wa elimu kwa jamii ili kupambana na aina zote za unyanyasaji na udhalilishaji wa kijinsia.

Baadhi
ya
wanafunzi wa shule mbalimbali za jijini Dar es Salaam, wakiwa na vitabu
vilivyo andikwa Hali Halisi ya Kijinsia
Nchini Tanzania wakati wa uzinduzi wa utoaji wa elimu kwa shule za
sekondari
juu ya unyanyaaji wa kijinsia ikiwa ni
pamoja na utoaji wa elimu ya utoaji wa mahusiano ya mazuri ya kimapenzi
kwa vijana .Shikamana wamedhamilia kuleta mabadiliko juu ya utoaji
wa elimu kwa jamii ili kupambana na aina zote za unyanyasaji na
udhalilishaji wa kijinsia.
0 Comments