Spika wa Bunge Anne Makinda akitoa ufafanuzi hali iliyotokea Bungeni leo. |
Mbunge wa Moshi Mjini, Mzee Philemon Ndesamburo (kushoto), pamoja na Said Arfi (Mpanda Mjini)wakifuatilia hoja mbalimbali Bungeni leo Dodoma. |
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia (kushoto) akimsikiliza Mhandisi Stella Manyanya (Viti maalumu) kuhusu yaliojiri Bungeni leo. |
0 Comments