| Mmoja wa waandishi wa habari Egbert Mkoko akitoa salamu kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa TASWA Picha na www.burudan.blogspot.com |
Baazi ya wanachama wa TASWA wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti
wa kamati ya Kusaidia timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys, Ridhiwan Kikwete Picha na www.burudan.blogspot.com
|
| Shafii Dauda (Clouds) akiwa na dada Asha Muhaji picha na www.burudan.blogspot.com |
| Mmiliki wa blog ya Bongo Staz Mahmud Zubeir kulia akizungumza na Wiliam Chiwango na Salim Said Salim Mjumbe wa mkutano huo, Rajabu Mhamila 'Super D' akijitambulisha kwa mgeni rasmi |
| Asha Kigundula kushoto na Khadija Kalili wakifuatilia jambo mkatika Mkutano Mkuu wa TASWA . |
| Baadhi ya wanachama wa TASWA wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti
wa kamati ya Kusaidia timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys, Ridhiwan Kikwete ambaye alikuwa mgeni rasmi pia ndiye aliyefungua mkutano huo wa siku moja Picha na www.burudan.blogspot.com |
| Mwanachama wa Taswa Saleh Ally akichangia mada wakati wa mkutano huo picha na www.burudan.blogspot.com |
| Katibu Mkuu wa TASWA Amir Muhando akitoa neno la shuklani kwa wajumbe waliohuzulia mkutano wakati wa kufunga mkutano huo Picha na www.burudan.blogspot.com |
| Baazi ya wanachama wa TASWA wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa kamati ya Kusaidia timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys, Ridhiwan Kikwete Picha na www.burudan.blogspot.com |
0 Comments