Kituo cha Runinga cha kulipia cha Primetime
kimeomba radhi kwa mamia ya wateja ambao walishindwa kutazama pambano
la bondia Ricky Hatton's aliporejea ulingoni mara baada ya kupata
matatizo ya kiufundi .'
Watu
walio jaribu kuweka oda zao katika majira ya saa moja usiku hadi saa
tatu na dakika hamsini 7.10pm and 9.50pm siku ya jumamosi hawakuweza
kutazama kutokana matatizo ya kiufundi na kukatika kwa matangazo .
Wateja
wengine walilalamika kuwa walikuwa wakiona mwanga wa bluu na mweusi
katika kioo baada ya kulipa pauni £14.95 sawa na shiligi 35000 elfu za
kitanzania na wameimbia bbc radio 4 kuwa Matangazo yao yalipatwa na
matatatizo na wanaweza kuwasiliana na mtu yeyote katika kampuni
Primetime
imesema kuwa itashughurikia kila mteja na italipa wateja wote madai yao
hasa wale ambao walishindwa kutazama pambano hilo
Hiii sio mara kwanza kwa Primetime Au kituo chochote cha runinga cha kulipia kupata matatizo kama hayo .
Mwaka 2009 kituo hicho kilikumbwa na matatizo makubwa ya kiutangazji katika pambano la Carl Froch vs Andre Dirrell.
Sky Box Frank Warren's Box walikumbwa na matatizo kama hayo .
Primetime Imesema kuwa matatizo ya kuifundi ina maana tulishundwa kuendelea kufanya kazi hasa pale simu nyingi zilipo kuwa zikimimi nika tulishindwa kuzimudu na haikuwa na maana kuwa tuliziipuuza .
Primetime Imesema kuwa matatizo ya kuifundi ina maana tulishundwa kuendelea kufanya kazi hasa pale simu nyingi zilipo kuwa zikimimi nika tulishindwa kuzimudu na haikuwa na maana kuwa tuliziipuuza .
0 Comments