| Bondia Mohamed Hemedi 'Kadogo Ninja' kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika Kambi ya Ilala Dar Es salaam Class anajiandaa na mpambano wake na Said Mundi utakaofanyika Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
HUWEZI KUISHIWA PAWA UKIPANDA MLIMA LOLMALASIN
-
Wakati anamsifia mpenzi wake Msanii Mbosso aliimba “ Kamusi namaliza kurasa
kukusifia” ,na akahitimisha kwa kusema anaishiwa pawa kwa kuwa penzi la
huyo am...
1 hour ago

0 Comments