Warembo wa Redd’s Miss Mwanza 2012 wakiwa wakiwa katika picha ya pamoja kambini kwao katika Hoteli ya Isamilo Lodge, ambako jumla ya walimbwende 18 kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Mwanza, watashiriki shindano hilo linalotarajiwa kufanyika Agosti 31 ndani ya Yatch Club jijini Mwanza
WATANZANIA WANUFAIKA NA MIRADI YA KIMKAKATI NA UWEKEZAJI
-
Na Mwandishi wetu
MIONGONI mwa jitihada zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya sita chini ya
Rais wa Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan...
2 hours ago
0 Comments