Kocha wa Mchezo wa ngumi Kambi ya Ilala Habibu Kinyogoli akimfundisha bondia chipkizi wa kike,Lulu Kayege Dar es salaam leo .kwa ajili ya kujiandaa na mipambano yoyote itakayoshirikisha wanamasumbwi wa kike picha na www,superdboxingcoach.blogspot.com
Skuli binafsi zina mchango mkubwa kwenye maendeleo ya sekta ya Elimu
Zanzibar
-
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Lela Muhamed Mussa,
ameahidi kushirikiana kikamilifu na kufanyia kazi changamoto zinazowakabili
wada...
7 hours ago
0 Comments