Bendi ya African Stars Twanga Pepeta kuanzia Jumapili ya wiki hii itakuwa ikitoa burudani ndani ya ukumbi wa Mzalendo Pub Millenium Tower maeneo ya makumbusho Kijitonyama.
Onyesho hili litakuwa likifanyika mara baada ya kumaliza bonanza la Leaders.
Copyright © 2015 - 2025 BongoWeekend All Right Reserved
Developed by Gadiola Emanuel
0 Comments